Spika Ndugai azuia wakurugenzi wa Uchaguzi kuguswa - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Spika Ndugai azuia wakurugenzi wa Uchaguzi kuguswa

SPIKA wa Bunge Job Ndugai amemzuia Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dk. Susan Kolimba kujibu maswali ya Mbunge wa Kitambile Masoud Abdallah Salim ambapo mojawapo lilihoji kuwa, lini serikali itapeleka mswada bungeni wa kubadili sheria inayoruhusu Wakurugenzi wa Halmashauri kuwa wasimamizi wa uchaguzi. Anaripoti Regina Kelvin … (endelea). Salim ...


Source: MwanahalisiRead More