SPIKA WA BUNGE AFANYA MAZUNGUMZO NA WABUNGE WA IRELAND LEO JIJINI DODOMA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

SPIKA WA BUNGE AFANYA MAZUNGUMZO NA WABUNGE WA IRELAND LEO JIJINI DODOMA

 Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akisalimiana na Balozi wa Ireland nchini Tanzania, Mhe. Paul Sherlock (kulia) alipomtembelea leo Ofisini kwake Jijini Dodoma. Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akizungumza na Balozi wa Ireland nchini Tanzania, Mhe. Paul Sherlock (katikati) na Mbunge wa Bunge la Ireland, Mhe. Catherine Conolly (kulia) walipomtembelea leo Ofisini kwake Jijini Dodoma. Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akizungumza na Wabunge wa Bunge la Ireland walioambatana na Maafisa waandamizi kutoka Ofisi ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali Ireland walioongozwa na Balozi wa Ireland nchini Tanzania, Mhe. Paul Sherlock (kushoto kwake) walipomtembelea leo Ofisini kwake Jijini Dodoma. Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Wabunge wa Bunge la Ireland ambao pia ni Wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za serikali (PAC) kutoka Bunge la Ireland, walioongozwa na Balozi wa Ireland nchini Tanzania, Mhe. Paul ... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More