SPORTPESA YAENDELEA KUBORESHA MAISHA YA WATANZANIA - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

SPORTPESA YAENDELEA KUBORESHA MAISHA YA WATANZANIA

Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
UNAFAHAMU Promosheni ya Shinda Zaidi na SportPesa tayari imekabidhi bajaj 74 kwa Watanzania ambao hivi sasa maisha yao yamebadilika na kuwa ya juu kutokana na kujiongezea kipato kupitia bajaj wanazoshinda.
Unataka na wewe uwe mmoja wa Watanzania walioboresha maisha yao? Ni rahisi sana unachotakiwa kubashiri matokeo ya michezo kupitia SportPesa pekee.
Kwani bado bajaj 26 zimebakia kwa washindi wa michezo ya kubashiri ya SportPesa, hivyo kama unataka ni kuanza kuweka ubashiri wako hivi sasa kupitia SportPesa.
Katika mahojiano maalum na Meneja Uhusiano wa SportPesa, Sabrina Msuya ameizungumzia promosheni hiyo inayoendelea hapa nchini.

Unaizungumziaje mwitikio wa promosheni
“Ipo kubwa tofauti na mwaka jana ambayo ilianza kutokana na mwitikio mkubwa wa Watanzania wengi kubashiri michezo mbalimbali kupitia SportPesa.
“Hivyo, kutokana na mwitikio huo mkubwa tumeona tuongeze zawadi nyingine tofauti na bajaj hizo tunazozitoa na lengo ni kuwanufaisha Watanzania.
Wash... Continue reading ->

Source: Bin ZuberyRead More