SPURS YAANZA VYEMA LIGI KUU ENGLAND, YAICHAPA 2-1 NEWCASTLE - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

SPURS YAANZA VYEMA LIGI KUU ENGLAND, YAICHAPA 2-1 NEWCASTLE

Delle Alli (kulia) akishangilia na na mchezaji mwenzake, Harry Kane (kushoto) baada ya kuifungia Tottenham Hotspur bao la pili dakika ya 18 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya wenyeji, Newcastle United Uwanja wa St James Park leo. Bao la kwanza la Spurs limefungwa na Jan Vertonghen dakika ya nane wakati la Newcastle limefungwa na Joselu dakika ya 11 Continue reading ->


Source: Bin ZuberyRead More