Stamina awajibu BASATA, aanika barua waliolimwa na baraza hilo kuhusu wimbo Parapanda! - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Stamina awajibu BASATA, aanika barua waliolimwa na baraza hilo kuhusu wimbo Parapanda!

Baada ya Baraza la Sanaa Taifa (BASATA) kudai kwamba Roma Mkatoliki na Stamina hawakuitwa na barazo hilo kwaajili ya wimbo wao mpya ‘Parapanda’ na kudaiwa wanatafuta kiki, Stamina ameamua kuweka wazi kila kitu baada ya sakata hilo kuonekana kuchukua sura mpya.


Rapa huyo amedai wao hawatafuti kiki kama baraza lilivyodai na kudai kwamba wanalishukuru baraza hilo kwa kutangaza kwa wimbo wao haujafungiwa.


“Sisi kama ROSTAM tunaamini kile tunachokifanya na hatujawahi kufanya muziki kwa mlengo huo wa kiki. Mwenye uelewa ukisoma hiyo barua utaelewa kama tunatafuta kiki au kweli tuliitwa kwa ajili ya wimbo wa Parapand,” alisema Stamina kupitia taarifa yake aliyoitoa mtandaoni.


Aliongeza, “Hata hvyo tunawashukuru BASATA kwa kuthibitisha mbele ya umma leo kua nyimbo haijafungiwa. Pia Tunashukuru mashabiki kwa kuendelea kusupport muziki wetu, naomba tuendelee kuuchagua wimbo wetu kwenye media mbalimbali #Hatuongeitena #achagomaliendelee. Asante,”


Basata mapema leo waliiambia Bongo5 kw... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More