Stand United yasahau kipigo cha Azam, yaigeukia Singida United - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Stand United yasahau kipigo cha Azam, yaigeukia Singida United

Stand United ‘Chama la Wana’ imepokea kipondo kizito cha mabao 3-1 kutoka kwa Azam FC katika mchezo wao wa Ligi Kuu Bara, lakini unaambiwa kichapo hicho kimewaumiza na sasa wanajipanga kuhamishia kilio chao kwa Singida United kuhakikisha wanashinda.


Source: MwanaspotiRead More