Stars yaiwahi Guinea ya Ikweta mapemaa - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Stars yaiwahi Guinea ya Ikweta mapemaa

KATIKA kuhakikisha wanapata matokeo mazuri nyumbani kwenye mchezo wao wa kwanza wa kuwania Fainali za Afcon 2021, kikodi cha timu ya taifa, Taifa Stars kinatarajiwa kuingia kambini kesho Jumamosi ili kujiandaa dhidi ya Guinea ya Ikweta katika mechi za makundi.


Source: MwanaspotiRead More