Stars yawasili katika joto la Cape Verde - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Stars yawasili katika joto la Cape Verde

Stars imewasili leo Jumatano katika Uwanja wa Ndege wa Nelson Mandela saa tano kamili kwa muda wa Cape Verde sawa na saa nane mchana kwa saa za Tanzania, na kupokewa na joto kali la Jiji la Praia huku wachezaji wa timu hiyo wakiahidi ushindi.


Source: MwanaspotiRead More