STARTIMES NA SOS CHILDREN’S VILLAGES ZAINGIA UBIA WA KUKABILIANA NA CHANGAMOTO ZINAZOWAKUMBA VIJANA KWENYE AJIRA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

STARTIMES NA SOS CHILDREN’S VILLAGES ZAINGIA UBIA WA KUKABILIANA NA CHANGAMOTO ZINAZOWAKUMBA VIJANA KWENYE AJIRA

KAMPUNI ya Star Media (T) Ltd na SOS Children’s Villages Tanzania wameingia  makubaliano ya kufanya kazi pamoja katika kusaidia familia na watoto/Vijana wanaoishi katika changamoto ya mazingira hatarishi, lengo likiwa ni kuwapatia fursa  mbalimbali hasa kiteknolojia ili kuendana na malengo ya milenia yaliyowekwa na Umoja wa Mataifa.
Katika mkataba huo StarTimes itasaidia programu mbalimbali za SOS Children’s Village katika Mikoa zaidi ya saba ikiwemo Unguja, Pemba, Dar es Salaam, Mwanza, Arusha, Iringa na Mufindi na program hizo zitalenga hasa kwenye kupanua nafasi za kujifunza na kukuza uzoefu miongoni mwa Vijana wa SOS Children’s Village. 

Akizungumza na waandishi wa habari wakati wa makubaliano hayo mwanasheria mkuu wa Star Media (T) Ltd Justine Ndege amesema  kuwa kwa vijana waliopo, kazi yao ya kwanza sio kuwa na uhuru. Kwao jambo la msingi kwanza ni kuishi tofauti ya maisha huru yenye heshima na maisha yenye misukosuko na mahangaiko ndicho wanacholenga kukabiliana nacho.

Nd... Continue reading ->

Source: Issa MichuziRead More