STARTMIMES YAJA NA LIPA TUKUBUSTI MSIMU WA KRISMASI - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

STARTMIMES YAJA NA LIPA TUKUBUSTI MSIMU WA KRISMASI


KUELEKEA msimu wa Krismasi kampuni ya Star Media (T) Ltd kupitia chapa yake ya Startimes imekuja na promosheni kabambe kabisa Kwa wateja wao pendwa na kuwashauri  wale ambao bado hawajajiunga na familia ya StarTimes kuwa msimu huu wa siku kuu wanaletea ‘LIPA TUKUBUSTI’ambayo inawapatia faida nne Katika kila atakachonunua kutoka kwao ambapo kama kampuni  watawabusti au kuwaongezea wateja zaidi.Uzinduzi huo ulifanyika katika Ukumbi wa Terrace, Slipway Masaki jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na waigizaji maarufu wa Bongo Movie pamoja na wasanii wa Muziki wa kizazi Kipya.
Akizungumza na waandishi wa habari meneja masoko wa Startimes Davis Malisa amesema kuwa Promosheni ya LIPA TUKUBUSTI kwa wateja wa StarTimes itawapa vifurushi vikubwa zaidi kila watakapolipia na kujiunga na vifurushi vyao vya kawaida kwa malipo ya mwezi Mzima. Hali kadhalika kwa wateja wapya watapatiwa Antena bure kila watakaponunua king’amuzi cha Antenna kwenye maduka na mawakala wa StarTimes.
“Vifurushi vyet... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More