STERLING APIGA HAT TRICK NDANI YA DAKIKA 11 MAN CITY YAICHAPA ATALANTA 5-1 - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

STERLING APIGA HAT TRICK NDANI YA DAKIKA 11 MAN CITY YAICHAPA ATALANTA 5-1

Raheem Sterling akishangilia baada ya kuifungia Manchester City mabao matatu ndani ya dakika ya 11 kuanzia dakika ya 58, 64 na 69 katika ushindi wa 5-1 dhidi ya Atalanta kwenye mchezo wa Kundi C Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Etihad. Mabao mengine ya Manchester City yalifungwa na Sergio Aguero dakika ya 34 na 38 la penalti kufuatia Atalanta kutangulia kwa bao la penalti pia lililofungwa na Ruslan Malinovskiy Continue reading ->


Source: Bin ZuberyRead More