Steve Nyerere afunguka baada ya Diamond kutoa misaada Tandale ‘na mimi nitafanya makubwa’ (+video) - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Steve Nyerere afunguka baada ya Diamond kutoa misaada Tandale ‘na mimi nitafanya makubwa’ (+video)

Muigizaji wa filamu nchini Tanzania, Steve Nyerere amesema kuwa kitendo cha Diamond Platnumz kutoa misaada Ijumaa ya wiki hii pale Tandale ni kitendo cha mfano na cha kuigwa kwa watu wote maarufu nchini Tanzania.Akiongea na Bongo5 na yeye amesema kuwa kwenye Birthday yake mwakani atafanya kama alivyofanya Diamond Platnumz, kulingana na uwezo wake.


The post Steve Nyerere afunguka baada ya Diamond kutoa misaada Tandale ‘na mimi nitafanya makubwa’ (+video) appeared first on Bongo5.com.


Source: Bongo5Read More