Steve Nyerere Akataa Kujihusisha na Msiba wa Mzee Majuto. - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Steve Nyerere Akataa Kujihusisha na Msiba wa Mzee Majuto.

msanii steve nyerere amefunguka nakuongea na waandishi  wahabari alipokuwa akiulizwa kuhusu taratibu za msiba wa mzee majuto na kusema kuwa pamoja na kwamba amepokea taraifa za msiba lakini yeye haweiz kusema chocote kuhusu swala hilo kwa sababu hausiki na chochote.


steve anasema kuwa amedhalishwa na kufedheheka sana ktaia kujitolea kwae na ndio maana kwa sasa anaona bora na yeye kuwa kama waombelezaji wengine tu.


nimeshasema siongei kitu, kuna viongozi wanaofatilia hii,nimeshatukanwa sana , nimeshasemwa sana,nimefedheshwa sana, na mimi pia nina familia  na nina watoto pia kwaio mimi sio msemaji mkuu lakini nia ni kumpumzisha mzee lakini mimi iswezi kusema chochote kile.mimi ni muombeleza kama waombelezaji wengine.


Hayo yanakuja kutokana na mitandao ya kujamii kupiti wasanii mbalimbali kuwa wakimbeza na kumtuhumu sana Steve kwa kumwambai kuwa amekuwa akisubiri misaba hili kula pesa za rambi rambi.


The post Steve Nyerere Akataa Kujihusisha na Msiba wa Mzee Majuto. appeared first on Gh... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More