Steve Nyerere amuomba radhi Ommy Dimpoz ‘sikumuombea mabaya’ - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Steve Nyerere amuomba radhi Ommy Dimpoz ‘sikumuombea mabaya’

Msanii wa filamu Steve Nyerere amefunguka kumuomba radhi muimbaji Ommy Dimpoz kufuatia kauli yake mbaya “Ommy Dimpoz hataweza kuimba tena” aliyoitoa miezi michache iliyopita.

Kauli hiyo ilisambaa sana wiki hii baada ya muimbaji huyo kuachia wimbo ‘Ni wewe’ ambao unazungumzia machungu aliyoyapitia katika kipindi anaumwa.

Baada ya kauli hiyo kupingwa kwa nguvu zote na wadau wa sanaa pamoja na muimbaji mwenyewe, Jumamosi hii Steve ameibuka na kuomba radhi pamoja na kueleza nia yake.

“Kwanza nichukue fursa hii kumshukuru M/Mungu, lakini pili nichukue fursa hii kumuomba radhi ndugu yangu Dimpoz kwa namna alivyopokea kauli yangu niliyoitoa dhidi yake. Na zaidi niwaombe radhi Watanzania wote na wapenzi wa sanaa.
Binadam unapoona hapa umekosea busara inatutaka kukiri kukosea nami nakiri kukosea kutokana na ile kauli yangu kwa Dimpoz.
Lakini ifahamike kwamba kauli ile haikuwa kwamba namtakia mabaya Dimpoz HAPANA, ila kwa tulivyokuwa tunapata taarifa kwakweli zilikuwa zinatukatis... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More