Steve Nyerere awambia wasanii “nikicheza beki 5 hakuna msanii atakufa njaa” (Video) - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Steve Nyerere awambia wasanii “nikicheza beki 5 hakuna msanii atakufa njaa” (Video)

Msanii wa filamu, Steve Nyerere Jumatatu hii alifanya kikao na wasanii ambao walitembelea mradi wa reli ya kisasa na kuzungumza nao mambo mbalimbali pamoja na mipango yake ya kuhakikisha wasanii wapiga pesa kutokana na majina yao.
The post Steve Nyerere awambia wasanii “nikicheza beki 5 hakuna msanii atakufa njaa” (Video) appeared first on Bongo5.com.


Source: Bongo5Read More