Straika Kapera amtia presha Kagere, Ambokile - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Straika Kapera amtia presha Kagere, Ambokile

Mshambuliaji Kapera ameshafunga mabao matatu akiwa ameachwa kwa bao moja na nyota wa Simba, Meddie Kagere huku straika wa Mbeya City,Eliud Ambokile akiongoza kwa ufungaji wa mabao sita katika Ligi Kuu.


Source: MwanaspotiRead More