Straika wa Simba arudishwa hospitali - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Straika wa Simba arudishwa hospitali

STRAIKA Abdul Suleiman wa Simba ameondoka leo Ijumaa pamoja na kikosi cha timu ya Taifa 'Taifa Stars' kilichokwenda kwa ajili ya kambi ya wiki mbili kabla ya kuanza michuano ya Fainali za Afrika 'Afcon' nchini Misri ingawa yeye amekwenda kutibiwa.


Source: MwanaspotiRead More