Study: Wape Facebook ruhusa wafuatilie utumiaji wako wa simu kisha wakulipe - Teknokona | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Study: Wape Facebook ruhusa wafuatilie utumiaji wako wa simu kisha wakulipe

Kupitia app ya Study, Facebook wanaomba data na watatoa malipo kwa wahusika wa data hizo. Je ni jambo ambalo unaweza kukubali kushiriki? App hii ya Story ambayo itakuwa inafanya kazi masaa yote huku ikiangalia tabia za mtu na jinsi anavyotumia apps zingine mbalimbali kwa siku, data za mizunguko yake n.k. inategemewa kuanza kupatikana nchini Marekani [...]


The post Study: Wape Facebook ruhusa wafuatilie utumiaji wako wa simu kisha wakulipe appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.


Source: TeknokonaRead More