SUAREZ AFUNGA DAKIKA YA MWISHO KUIPA USHINDI WA UGENINI BARCELONA - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

SUAREZ AFUNGA DAKIKA YA MWISHO KUIPA USHINDI WA UGENINI BARCELONA

Luis Suarez akishangilia baada ya kufunga dakika ya 90 akimalizia pasi ya Sergi Roberto kuipatia Barcelona bao la ushindi ikiwalaza wenyeji, Rayo Vallecano 3-2 katika mchezo wa La Liga jana Uwanja wa Rayo Vallecano mjini Vallecas Teresa Rivero, Madrid. Hilo lilikuwa bao la pili Suarez kufunga jana, baada ya lingine dakika ya 11akimalizia pasi ya Jordi Alba, huku bao la lingine la Barca likifungwa na Ousmane Dembele dakika ya 87 na mabao ya Rayo Vallecano yalifungwa na Jose Angel Pozo dakika ya 35 na Alvaro Garcia dakika ya 57 Continue reading ->


Source: Bin ZuberyRead More