Suarez aongeza tattoo ya shingo inayoonyesha style yake ya kubusu vidole ambayo huwa inawakilisha familia yake (+video) - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Suarez aongeza tattoo ya shingo inayoonyesha style yake ya kubusu vidole ambayo huwa inawakilisha familia yake (+video)

Mara kadhaa nyota wa Barcelona, Luis Suarez amekuwa kionekana akibusu vidole vyake vya mikono pindi anaposhangilia wakati akipachika mabao.


Image result for luis suarez celebrating goals


Kupitia ushangiliaji wa staa huyo wazamani wa Liverpool ameamua kuchora ‘tattoo’ kwenye shingo yake huku akiandika jina la mtoto wake wa kike,Delfina.


Suarez was filmed as he got his new tattoo before Barcelona's game against Espanyol


Aina hiyo ya ushangiliaji wa Suarez hutimia baada ya kubusu kidole alichovikwa pete na mke wake, Sofia kisha kumalizia na vidole vitatu vikiwawakilisha watoto wake na mkewe ambayo ndiyo familia yake.


View this post on Instagram#Repost @otro ・・・ A first look at @luissuarez9's new tattoo ahead of game day. Sign up for more exclusive access to Suarez and the rest of our team (link in bio) #OurOtherClub


A post shared by Luis Suarez (@luissuarez9) on Dec 7, 2018 at 10:51am PST

Mchoro huo unakuja wakati huu ambao Barcelona ikiwa na kibarua cha kukabiliana na timu ya Espanyol hii leo siku ya Jumamosi katika La Liga.


Suarez amefunga jumla ya magoli tisa kat... Continue reading ->
Source: Bongo5Read More