Sugu aikumbuka siku aliyovuliwa nguo zote gerezani-2 - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Sugu aikumbuka siku aliyovuliwa nguo zote gerezani-2

Maisha ya gerezani huwa si mazuri, hakuna anayependa kwenda jela. Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ amekaa gerezani kwa siku 73, lakini mwanamuziki huyo wa hip hop, anasema katika siku hizo, kuna siku moja tu ambayo hawezi kuisahau.


Source: MwanaspotiRead More