SumaJKT yaokoa mamilioni ya Serikali - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

SumaJKT yaokoa mamilioni ya Serikali

SERIKALI kupitia Wizara ya Madini imesaini mikataba mitatu ya ujenzi wa vituo saba vya umahiri na jengo la mafunzo kwa wachimbaji wadogo katika Chuo cha Madini Dodoma ambapo miradi hiyo itagharimu Sh. 11.9 bilioni hadi kukamilika kwake. Anaripoti Dany Tibason … (endelea). Usainishaji mikataba hiyo ulifanywa kati ya Wizara ya Madini na Kampuni ya SUMAJKT ...


Source: MwanahalisiRead More