SUMBAWANGA: Mvua ya ajabu yasababisha Tamasha la Wasafi Festival kusitishwa, WCB watoa kauli - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

SUMBAWANGA: Mvua ya ajabu yasababisha Tamasha la Wasafi Festival kusitishwa, WCB watoa kauli

Tamasha la Wasafi limeahirishwa Sumbawanga mpaka kesho (leo) kutokana na mvua kubwa iliyonyesha mjini hapo. Lavalava alikuwa msanii wa mwisho kupeform kabla ya mvua hiyo kuchapa kwa zaidi ya masaa 2.Mvua hiyo ilisababisha shoti za umeme uwanjani na baadae muziki na taa kuzima hali ambayo ilipelekea Diamond kupanda stejini na kuwaeleza kwamba show hiyo itarudiwa (kesho) leo jioni.


Diamond alisema show hiyo itarudiwa leo saa 10 jioni bila kiingilio ili kukata kiu ya mashabiki hao.


Kwa sasa tamasha hilo linakwenda kufanyika Zanzibar siku ya Jumanne ya wiki ijayo.


The post SUMBAWANGA: Mvua ya ajabu yasababisha Tamasha la Wasafi Festival kusitishwa, WCB watoa kauli appeared first on Bongo5.com.... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More