SUPA SANDEI: Man City ni kibonde anayetaka kufuta uteja wake kwa Arsenal - Shaffih Dauda | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

SUPA SANDEI: Man City ni kibonde anayetaka kufuta uteja wake kwa Arsenal

Arsenal v Manchester City
Mechi ya kukata na shoka mechi la kibabe


Huku Unai kule Pep


Leroy Sane anakumbukwa vyema baada ya kuwafumua Arsenal bao la 3 pale pale The Emirates stadium. Mbaya zaidi ameongezewa Riyadh Mahrez


Ushindi wa mabao 3-0 nyumbani kwa Arsenal ulikuwa ushindiwao wapili katika historia yao tokea mwaka 1975.


Ushindi wa mabao tatu 3-2 ni ushindi wa 7 kwa City dhiddi ya Arsenal tokea wameanza kukutana 1920, mchezo uliomalizika kwa mabao 2-2. City ushindi wao wa kwanza dhidi ya ulikuja mwaka 1921 kwa bao 1 kwa nunge. Kisha wao wakapigwa tena 2-1 October 1923.Man City walishinda tena 3-2 September 1935.


September 1954 walishinda 3-2 na ilipita miaka 9 ndipo wakapata tena ushindi April 1963.


Man city wamekwenda Highbury na The Emirates mara 30 zote kwa pamoja wakatoka suluhu mara 8, na kupoteza mingine minane kushinda miwili tu.


City walipoteza mechi 5 mfululizo kwa Arsenal, kuanzia September 1929 mpaka January 1933, pia walipoteza tena mechi mfululizo kuanzka October 1956... Continue reading ->


Source: Shaffih DaudaRead More