T-Pesa kuanzisha mfumo wa malipo kwa kutumia card - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

T-Pesa kuanzisha mfumo wa malipo kwa kutumia card

Mkuu wa Huduma za T- PESA, Moses Alponce (wa pili kulia) pamoja na Mwenyekiti wa Kampuni ya PayLink ya Korea, MoonKyu Lee (wa pili kushoto) wakisaini leo jijini Dar es Salaam makubaliano ya mradi wa kutengeneza mfumo wa malipo kwa kutumia kadi (T Card) utakaotumika kulipia huduma mbalimbali nchini Tanzania. Wanaoshuhudia kulia na kushoto ni wanasheria wa pande zote.  Mkuu wa Huduma za T- PESA, Moses Alponce (wa pili kulia) pamoja na Mwenyekiti wa Kampuni ya PayLink ya Korea, MoonKyu Lee (wa pili kushoto) wakisaini makubaliano ya mradi wa kutengeneza mfumo wa malipo kwa kutumia kadi (T Card) utakaotumika kulipia huduma mbalimbali nchini Tanzania. Wanaoshuhudia kulia na kushoto ni wanasheria wa pande zote.  Mkuu wa Huduma za T- PESA, Moses Alponce (wa pili kulia) pamoja na Mwenyekiti wa Kampuni ya PayLink ya Korea, MoonKyu Lee (wa pili kushoto) wakibadilishana nakala za makubaliano yao mara baada ya kusaini leo jijini Dar es Salaam. Wanaoshuhudia kulia na kushoto ni wanasheria wa pa... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More