TAA, MANISPAA YA ILALA, TANZANIA REMIX WAWALIPA FIDIA YA VIWANJA WANANCHI WA KIPUNGUNI B - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

TAA, MANISPAA YA ILALA, TANZANIA REMIX WAWALIPA FIDIA YA VIWANJA WANANCHI WA KIPUNGUNI B

Zoezi la upimaji likiendelea ili kuweza kuonyesha mawe ya upimaji kabla ya kumkabidhi Mwananchi husika mapema leo katika Mtaa wa Kidole kata ya Msongola.Mmoja wa Wananchi kutoka Kipunguni ambaye ameoneshwa eneo lake akiwa amepiga picha katika eneo hilo  Mtaa wa Kidole kata ya Msongola mapema leo.Baadhi ya Wananchi wa Kipunguni Mashariki na Kipunguni A wakiwa na Maofisa wakisubiri kupimiwa maeneo yao katika Mtaa wa Kidole kata ya Msongola mapema leo.Picha na.Wapima ardhi Masasu Magenyi (Manispaa ya Ilala) na Hemedi fundi (Tanzania Remix) wakisoma ramani za eneo hilo wakati wa kugawa maeneo hayo kwa Wananchi Mtaa wa Kidole Kata ya Msongola Wilaya ya Ilala mapema leo
MAMLAKA ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) kwa kushirikiana na Ofisi ya Manispaa ya Ilala,Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Ilala na Kampuni ya Tanzania Remix  imeanza kutekeleza agizo la Naibu Waziri Ujenzi uchukuzi na Mawasiliano (Uchukuzi)  Mhandisi Atashasta Nditiye juu ya ulipaji wa fidia ya Viwanja kwa Wananchi wa Kata ya k... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More