Taarifa kuelekea Chelsea vs Man City - Shaffih Dauda | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Taarifa kuelekea Chelsea vs Man City

Mchezo wa ligi kuu England kati ya Chelsea dhidi ya Manchester City, mchezo huu ambao ulikuwa unasubiria kwa hamu duniani na mashabiki mbali mbali wakiamini soka la kuvutia kwa pande zote mbiliHuu mchezo utakuwa mgumu sana naamini kila timu itacheza open game kwa maana ya kushambulia na kutengeneza nafasi za mabao. Ukiangalia hizi timu kwenye msimamo wa ligi kuu England tunapata taswira msimu huu kila timu imecheza michezo 15 City, amekusanya alama 41 ameruhusu mabao 7 na wamefunga mabao 45.


Katika idara ya ulinzi imekamilika zaidi muunganiko wa Laporte, na Stones, tunaiona ngome hiyo kuwa ngumu kupita wana uwezo mzuri kwa kutengeneza hata nafasi za mabao.


Ukiangalia Chelsea,msimu huu mpaka sasa amevuna alama 31 pia wameruhusu wamefunga mabao 31 na wameruhusu mabao 13 tunaiona safu ya ulinzi ya Chelsea, msimu huu aipo vizuri ukimuangalia vizuri David Luiz, na Rudiger, ni wazuri wakiwa na mpira ila kwenye kutengeneza nafasi ndo shida ipo hapo pia sio wazuri kwenye kukaba hii inaleta ... Continue reading ->


Source: Shaffih DaudaRead More