Taarifa kuhusu fursa za ufadhili wa masomo ya muda mfupi kutoka Serikali ya Singapore na Israel - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Taarifa kuhusu fursa za ufadhili wa masomo ya muda mfupi kutoka Serikali ya Singapore na Israel


Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imepokea fursa za ufadhili wa masomo ya muda mfupi kutoka Serikali ya Singapore kupitia Programu ya Ushirikiano ya nchi hiyo (SCP) na Serikali ya Israel kupitia Shirika la Kimataifa la Maendeleo la Israel (MASHAV).
Maelekezo ya kalenda ya kozi ambazo zimetolewa chini ya ufadhili wa Programu ya Ushirikiano ya Singapore inapatikana kupitia tovuti yao ya http://www.scp.gov.sg.


Taarifa ya kina kuhusu nafasi za masomo chini ya ufadhili wa MASHAV inapatikana kupitia tovuti ya http: // mashav.mfa.go.il/MFA/mashav/Courses/Pages/default.aspx.


Kupara sehemu ya kalenda ya kozi chini ya ufadhili wa Programu ya Ushirikiano ya Singapore kwa mwaka 2018 na 2019 BOFYA HAPA... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More