TAARIFA KUTOKA JESHI LA POLISI MBEYA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

TAARIFA KUTOKA JESHI LA POLISI MBEYA

Mnamo tarehe 10/06/2019 majira ya saa 08:50 asubuhi huko maeneo yam lima Yasini katika Wilaya ya Chunya Mkoa wa Mbeya katika barabara ya Chunya – Makongorosi  gari lenye namba za usajili T489 AUG aina ya scania, basi la abiria linalomilikiwa na Kampuni ya Sasebosa likiendeshwa na dereva SELEMAN S/O SALEHE miaka 48, mkazi wa Tabora ambaye alitoroka baada ya ajali, lilipinduka na kusababisha majeruhi kwa abiria wawili (02) ambao ni TILA D/O MBEYU , umri miaka 70, mkulima wa Dsm aliumia sehemu ya kiunoni, na wa pili ni  JANE D/O DAMIANI miaka 28, mkulima wa Kibaoni Chunya, aliumia sehemu ya kifuani na mkono wa kushoto na wote wawili walikimbizwa hospitali ya Rufaa kanda ya Mbeya kwa matibabu.Chanzo cha ajali  bado kinachunguzwa.Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Kamishna Msaidizi wa Polisi SEBASTIAN M. MBUTA anatoa wito  kwa madereva wa mabasi ya abiria na vyombo vingine vya moto wanatakiwa kuwa makini kufuata sheria za usalama barabarani muda wote wanapokuwa barabarani. V... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More