TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU FURSA ZA MASOMO SAUDI ARABIA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU FURSA ZA MASOMO SAUDI ARABIA


Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imepokea fursa za ufadhili wa masomo katika kozi mbalimbali kutoka Serikali ya Saudi Arabia.Mafunzo hayo yatatolewa katika Chuo Kikuu cha Imam Abdulrahman bin Faisal kilichopo Saudi Arabia. Taarifa kamili kuhusu ufadhili, kozi na taratibu zote za namna ya kuomba zinapatikana kupitia tovuti ya Chuo hicho www.iau.edu.sa 
Imetolewa na:Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali,Wizara ya Mambo ya Nje Na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,Dar es Salaam12 Julai, 2018... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More