Taarifa ya hali ya Mfumuko wa Bei nchini kwa mwezi Agosti, 2018 - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Taarifa ya hali ya Mfumuko wa Bei nchini kwa mwezi Agosti, 2018

Mkurugenzi wa Sensa ya Watu na Takwimu za Jamii wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Ephraim Kwesigabo akitangaza hali ya Mfumuko wa Bei wa Taifa kwa mwezi Agosti, 2018 leo jijini Dodoma. Baadhi ya waandishi wa Habari walioshiriki kwenye ‘Press Conference’ ya kutangazwa kwa hali ya Mfumuko wa Bei wa Taifa kwa mwezi Agosti, 2018 leo jijini Dodoma.... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More