Taarifa ya kuumwa ya Sam wa Ukweli mpaka kifo chake! (Video) - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Taarifa ya kuumwa ya Sam wa Ukweli mpaka kifo chake! (Video)

Usiku wa kuamkia Alhamisi hii zilianza kuzagaa taarifa za majonzi za kifo cha msanii wa muziki, Sam Waukweli baada ya kuugua kwa muda mfupi.Kwa mujibu wa taarifa za awali muimbaji huyo alianza kuugua ghafla akiwa studio na baadaye kukimbizwa hospitali ya Palestina iliyopo Sinza Kinondoni jijini Dar es salaam kwaajili ya matibabu lakini muda mchache alifariki dunia.


Akiongea na Millardayo usiku huo producer Steve Joniso ambaye alikuwa mara ya mwisho na marehumu, alisema wakati yupo studio akiandaa beat kwaajili ya wimbo wa Sam, muimbaji huyo alikuwa akilalamika kuumwa tumbo na baadaye alizidiwa na kukosa nguvu kabisa hali ambayo ilipelekea hata ashindwe kwenda chooni mwenyewe.


“Ikabidi tumpeleke chooni huwezi amini chooni tulimtenga hawezi kukaa kwenyewe, sisi tukaona hii sio kawaida, tukamwambia Sam ngoja tutoe taarifa kwa ndugu zako, yeye anakataa msiwataarifu, hiyo inaenda saa moja usiku, mida ya saa mbili usiku tukaamua kuwapigia simu ndugu zake tukawataarifu mbwana Sam yupo kwe... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More