TAASISI YA FRIEDKIN CONSERVATION FUND YATOA MILIONI 110 KUSAIDIA ELIMU SIMIYU - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

TAASISI YA FRIEDKIN CONSERVATION FUND YATOA MILIONI 110 KUSAIDIA ELIMU SIMIYU

TAASISI ya uhifadhi na Utalii ya Friedkin Conservation Fund, imetoa msaada ya shilingi milioni 110 ili kusaidia ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Vipaji maalum mkoani Simiyu. Msaada huo, ulikabidhiwa jana kwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Bw. Anthony Mtaka na wakurugenzi wa taasisi hiyo wakiongozwa na Abdukadir Mohamed katika hafla iliyofanyika Uwanja wa Maonesho ya Nanenane Nyakabindi Wilaya ya Bariadi.
Mohammad alisema taasisi yao ambayo inamiliki kampuni za Uwindaji na upigaji picha za kitalii, Mwiba Holdings Ltd na Tanzania Game Trackers Safaris, ambazo zimewekeza mkoani humo, zimetoa msaada huo kusaidia watoto kupata elimu.Alisema msaada huo ni mwendelezo wa misaada ya kusaidia jamii inayotolewa ili kuchangia maendeleo ya Mkoa wa Simiyu kiujumla.

"Tunachoomba ni kupewa ushirikiano tufanye kazi zetu za utalii katika pori la akiba la Makao na Maswa na kuondolewa uvamizi," alisema.Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Anthony Mtaka alishukuru kwa msaada huo wa shilingi milioni 110 ambazo zitasa... Continue reading ->Source: Issa MichuziRead More