TAASISI YA ISIYO YA KISERIKALI YA HDIECA YAFANYA MAONESHO YA WAJASILIAMALI WADOGO WADOGO KUONESHA KAZI ZA MIKONO YAO , JIJINI DAR ES SALAAM - Mwanaharakati Mzalendo | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

TAASISI YA ISIYO YA KISERIKALI YA HDIECA YAFANYA MAONESHO YA WAJASILIAMALI WADOGO WADOGO KUONESHA KAZI ZA MIKONO YAO , JIJINI DAR ES SALAAM

Taasisi ya isiyo ya Kiserikali inayojishughulisha na maswala ya Mazingira pamoja na Utu (HDIECA) , iliandaa maonesho maalum ambayo yaliwakutanisha wajasiliamali mbalimbali ambao wanafanya shughuli zao kwa kutumia mikono yao kwa lengo la kurudisha shukurani zao kwa  jamii kutokana na wananchi kupokea na kushirikiana nao vyema katika kazi zao mbalimbali wanazozifanya kila siku.
Maonesho hayo yalifanyika katika viwanja vya Azura Kawe Jijini Dar es Salaam na hakukuwa na kiingilio chochote kwa wananchi na wajasiliamali hawakulipia kitu ilikuwa ni Bure kabisa.
Wakizungumza kwa nyakati tofauti wajasiliamali wengi waliishukuru taasisi hivyo kwa kuwapa fursa hiyo hata ya kuonesha kazi zao na kufahamiana na watumbalimbali na pia kuongeza wigo wa kibiashara kwa kupata wateja wapya.Baadhi ya wadau mbalimbali wakiwa wanatazama bidhaa  za wajasiliamali Mmoja wa wajasiliamali (Aliyevaa T-shirt nyeupe) akitoa maelezo ya namna dawa zake za asili zinazofanya kazi.Mkurugenzi wa Taasisi ya  HDIECA Bi. S... Continue reading ->


Source: Mwanaharakati MzalendoRead More