TAASISI YA ROOM TO READ YAPUNGUZA KASI ZA MIMBA ZA UTOTONI KUTOKA ASILIMIA 18 %HADI 1% - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

TAASISI YA ROOM TO READ YAPUNGUZA KASI ZA MIMBA ZA UTOTONI KUTOKA ASILIMIA 18 %HADI 1%


IMEELEZWA kuwa Mkoa wa Pwani umefanikiwa kutokomeza  mimba za utotoni  na utoro mashuleni kwa watoto wa kike  kutoka asilimia 18 hadi kushuka kiwango hicho na kufikia  asilimia moja.

Yamesema hayo  na  Mkurugenzi Mkazi  kutoka Taasisi ya Room to Read Peter Mwakabwele  aliyezungumza katika maadhimisho  ya siku ya mtoto wa kike duniani ambayo huadhimishwa kila ifikapo Oktoka 11  kila mwaka.
Amesema kuwa taasisi hiyo ya  Room to Read ilijikita  katika Mkoa wa  Pwani  na kuweka mikakati ya kusimamia  haki ya kupata elimu kwa watoro wa kike ambao wanaishi katika  mazingira magumu na kuwapa msaada wa kuwapeleka shule na kuwasimamia katika ngazi ya shule za msingi, sekondari na hata wanao  pata nafasi  ya kuendelea katika ngazi za elimu ya juu.
"Room to Read  tumeweza kufanikisha tunapunguza kasi ya ndoa  za utotoni na utoro mashuleni kwa  kwa watoto wa kike  kwa kuhakikisha  karibu na wazazi  wa mabinti gao na kufuatilia maendeleo yao ya masomo na kuwaelewesha wazazi umuh... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More