Taasisi ya RSA yafanya Kongamano Dodoma Dhima kuu ikiwa ni Mabadiliko ya Sheria ya Usalama Barabarani - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Taasisi ya RSA yafanya Kongamano Dodoma Dhima kuu ikiwa ni Mabadiliko ya Sheria ya Usalama Barabarani

Na. Vero Ignatus Dodoma. 
Taasisi ya mabalozi wa usalama barabarani nchini wamefanya kongamano la siku Mkoani Dodoma dhima kuu ikiwa '' Mabadiliko ya sheria ni muhimu katika kuimarisha usalama nchini''
Kongamano hilo limefanyika kwasababu ya mkono mabadiliko ya sheria za usalama barabarani kushirikiana /kuwahusisha viongozi wanaohusika na mambo ya kisera na waunge mkono mabadiliko ya sheria hiyo. 
Mkurugenzi wa habari na mawasiliano RSA, ambae pia ni mjumbe wa Baraza la Taifa usalama barabarani Augustus Fungo amesema kuwa wanahitaji mabadiliko ya sheria ya usalama barabarani kwani iliyopo haikidhi na imepitwa na wakati kwani ilitungwa mwaka 1983. 
'' Wakati sheria hii ikitungwa sayansi na teknolojia ilikuwa haijashika kasi kama ilivyo sasa, barabara zetu, vyombo vya moto vilikuwa vichache tofauti na miaka ya leo'' alisemaFungo.
Kwa upande wake Kamanda wa kikosi cha usalama barabarani Tanzania Fortunatus Musilim amewapongeza RSA kwa ushirikiano wao na jeshi la polisi kwa kutoa taari... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More