TAASISI YA UTAFITI WA WANYAMAPORI(TAWIRI ) NA FRIEDKIN CONSERVATION FUND LIMITED(FCFL) WAWAWEKEA TEMBO 18 VIFAA MAALUMU - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

TAASISI YA UTAFITI WA WANYAMAPORI(TAWIRI ) NA FRIEDKIN CONSERVATION FUND LIMITED(FCFL) WAWAWEKEA TEMBO 18 VIFAA MAALUMU

Waziri wa Maliasili na Utalii,Dk Hamis Kigwangala(wa pili kushoto) akiwa pamoja na Mkuu wa mkoa wa Simiyu,Anthony Mtaka ,Mkuu wa wilaya ya Meatu,Dk Joseph Chilongani(kulia) na Meneja wa shirika linalojihusisha na uhifadhi la Friedkin Conservation Fund Limited(FCFL),Nana Grosse alipowasili kwenye uwanja mdogo wa ndege wa Mwiba Wildlife Ranch kushuhudia uwekaji mikanda maalumu ya ufatiliaji mienendo ya Tembo eneo la Maswa Game Reserve.

Waziri wa Maliasili na Utalii,Dk Hamis Kigwangala akizungumza   kabla ya kushudia  uwekaji wa mikanda maalumu ya ufatiliaji mienendo ya Tembo kwenye Pori  la Maswa Game Reserve uliofadhiliwa na shirika linalojihusisha na uhifadhi la Friedkin Conservation Fund Limited(FCFL) katika eneo la  Mwiba Wildlife Ranch .

Waziri wa Maliasili na Utalii,Dk Hamis Kigwangala(kulia) akishuhudia uweka  uwekaji wa mikanda maalumu ya ufatiliaji mienendo ya Tembo kwenye Pori  la Maswa Game Reserve uliofadhiliwa na shirika linalojihusisha na uhifadhi la Friedkin Conse... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More