TADB ‘yatupa’ jembe la mkono kwa kuwakopesha matrekta wakulima wa pamba - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

TADB ‘yatupa’ jembe la mkono kwa kuwakopesha matrekta wakulima wa pamba

Benki ya Maendeleo ya Kilimo nchini (TADB) imetoa matrekta 24 yenye thamani ya zaidi ya TZS 1.5 bilioni kwa Vyama vya Ushirika vya Msingi vya Masoko (AMCOS) 24 vinavyolima zao la pamba katika mikoa ya Kanda ya Ziwa ili kuongeza tija na uzalishajji wa zao hilo.
Akizungumza wakati wa makabidhiano hayo Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TADB, Bw. Japhet Justine amesema kuwa Benki ya Maendeleo ya Kilimo inalenga katika kuwawezesha wakulima wa zao la pamba nchini ili waweze kuongeza tija na uzalishaji kama inavyobainishwa katika Programu ya Kuendeleza Sekta ya Kilimo Awamu ya Pili.
Kwa upande wake Mkurugenzi wa Bodi ya Pamba nchini, Bw. Marco Mtunga amesema kuwa kupitia mkopo wa viua dudu uliotolewa msimu uliopita na TADB, ambapo uliwanufaisha zaidi ya wakulima laki sita wa zao la pamba ambapo uliwezesha kuongeza uzalishaji kufikia tani 221,600 ikiwa ni ongezeko la asilimia 67 ikilinganishwa na tani 133,000 zilizozalishwa msimu wa 2017/18.
Bw. Mtunga ametoa wito kwa taasisi nyingine kushirikiana ili ... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More