TAEC YAWAKUTANISHA WADAU KUJADILI NAMNA YA KUTATUA CHANGAMOTO MADHARA YA MIONZI - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

TAEC YAWAKUTANISHA WADAU KUJADILI NAMNA YA KUTATUA CHANGAMOTO MADHARA YA MIONZI

Na Vero Ignatus,ArushaTume ya nguvu za ATOMIC Tanzania kwa kushirikiana na jumuiya ya umoja wa Ulaya EU imeandaa warsha ya siku 3 kwa ajili ya utowaji wa leseni ya madini yatoayo mionzi ya kujikinga na madhara yake nchini Tanzania
Warsha hiyo iliyofanyika jijini Arusha katika Ofisi za Atomic zilizopo Njiro ambapo lengo ni kuwakutanisha wadau mbalimbali kutoka sekta mbalimbali ili kuweza kutatua changamoto zinazotokana na madhara ya mionzi
Mkurugenzi wa tume ya nguvu za Atomic Tanzania Prf. Lazaro Lusagara amesema kuwa wameendelea na warsha hiyo ili kuweza kuhakikisha wanaziba mianya ambayo imekuwa wazi na kuweza kuwafikia watanzania wote kwa wakati ili kuweza kuwapa elimu ya kutosha
Mkurugenzi wa lessen za madini pamoja na mifumo ya TEHAMA nchini Tanzania Bw. Thomas Ngole Pamoja Khadija ramadhani kutoka tume ya madini Tanzania wamesema semna hiyo itasaidia kuongeza nguvu katika utendaji kazi na kusaidia Radio active Material kuwaweka watu salama
Kwa upande wake Afisa mazingira kutoka baraz... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More