TAFITI: IMF yasema uchumi wa Dunia umeshuka - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

TAFITI: IMF yasema uchumi wa Dunia umeshuka

Shirika la fedha la kimataifa IMF limesema vita vya kibiashara vilivyosababishwa na hatua ya Marekani kutangaza viwango vya ushuru pamoja na madeni makubwa vimeshusha uchumi wa dunia.Ikitangaza utafiti wake wa hivi karibuni hii leo  kuhusiana na hali ya uchumi duniani  katika kuelekea mkutano wa kilele utakaofanyika Bali Indonesia,  IMF imesema kukua kwa uchumi duniani kwa mwaka huu kutasalia katika kiwango cha asilimia 3.7 na kusalia katika kiwango hicho hapo mwakani. Utafiti huo unaonesha kuwa kiwango hicho ni cha chini kulinganisha  na asilimia 3.9 iliyotangazwa April.


Uchumi unaonekana kuporomoka na kuwa katika kiwango cha asilimia 3.7 alisema mchumi mkuu wa IMF  Maury Obstfeld wakati alipozungumza na waandishi wa habari katika hafla ya kutangazwa kwa ripoti hiyo.


Aidha IMF pia inasema kiwango cha kukua kwa uchumi wa mataifa ya China na Marekani  yaliyo na uchumi mkubwa duniani nacho pia kimeshuka.


Uchumi wa China sasa unakadiriwa kukua kwa kiwango cha asilimia 6.2 kwa mwak... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More