TAFITI: Wanawake waliokwenye mapenzi na wanaume wadogo kiumri kuliko wao, Huridhika zaidi kwenye mahusiano - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

TAFITI: Wanawake waliokwenye mapenzi na wanaume wadogo kiumri kuliko wao, Huridhika zaidi kwenye mahusiano

Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na mwanasaikolojia  Dkt. Justin Lehmiller umeonesha kuwa wanawake ambao wapo kwenye mapenzi na wanaume wenye umri mdogo kuliko wao, Wanaridhika zaidi kwenye mapenzi kuliko wale wanawake waliopo kwenye mapenzi na wanaume wenye umri mkubwa kuliko wao.


Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron (41) na mkewe Brigitte Macron 66

Dkt. Lehmiller amesema amefanya utafiti kwa wanawake 200, Ambao wote wapo kwenye mahusiano na kuwauliza wanavyoridhika kwenye mapenzi wakiwa na wenza wao.


Na matokeo yalionesha kuwa asilimia 70 sawa na wanawake 140 waliokuwa wamewazidi umri wanaume wao,  Walisema wanaridhishwa na wanafurahia mahusiano yao.


Asilimia 18 ya wanawake ambao walikuwa karibia sawa kiumri na wenza wao, Walisema mahusiano yao yapo kawaida na kuna muda yanabadilika.


Na, Asilimia 12 ya wanawake walio kwenye mapenzi na wanaume wenye umri mkubwa kuliko wao, Wamesema hawaridhiki kwenye mahusiano na wanakosa uhuru wakiwa faragha.


Akieleza sababu ya kwanini wanawake wenye u... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More