Taifa ni Stars vicheko tu - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Taifa ni Stars vicheko tu

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, jana alimkabidhi Juma Kaseja zawadi ya Sh. 10 milioni baada ya kipa huyo kuokoa penalti dhidi ya Burundi na kuisaidia Taifa Stars kuingia katika hatua makundi ya kuwania kufuzu kwa fainali za Kombe la Dunia 2022.


Source: MwanaspotiRead More