TAIFA STARS 1991, MWAKALEBELA, MOGELLA, MASATU, GAGA NDANI - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

TAIFA STARS 1991, MWAKALEBELA, MOGELLA, MASATU, GAGA NDANI

WACHEZAJI wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars kutoka kulia, David Mwakalebela ‘MP’, Hamisi Thobias Gaga ‘Gagarino’ (marehemu), Zamoyoni Mogella, Sanifu Lazaro, Joseph Lazaro na George Masatu kabla ya moja ya mechi zao mwaka 1991 Uwanja wa Amaan, Zanzibar. 


Source: Bin ZuberyRead More