Taifa Stars na jasho la thamani Afcon - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Taifa Stars na jasho la thamani Afcon

Ilipita miaka 39 tangu mara ya mwisho tushiriki mashindano ya Mataifa ya Afrika.Ni kipindi kirefu ambacho mengi yalikuwa hayapo hivi yalivyokuwa leo, kipindi kirefu ambacho hakuna picha za kumbukumbu ya kilichotokea na ndio maana hatufahamu namna mastaa wa kipindi hicho walivyofanya balaa.


Source: MwanaspotiRead More