TAIFA STARS WAKIJIFUA BOKO KUJIANDAA NA MCHEZO DHIDI YA SUDAN JUMAPILI DAR KUFUZU CHAN - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

TAIFA STARS WAKIJIFUA BOKO KUJIANDAA NA MCHEZO DHIDI YA SUDAN JUMAPILI DAR KUFUZU CHAN

Kiungo wa Azam FC, Salum Abubakar 'Sure Boy' (kushoto) akigombea mpira na beki wa Simba SC, Mohammed Hussein 'Tshabalala' kwenye mazoezi ya timu ya taifa, Taifa Stars leo Uwanja wa Boko Veterani.
Makipa Juma Kasema wa KMC (kushoto) na Metacha Mnata wa Yanga (kulia) wakijiandaa na mchezo dhidi ya Sudan utakaofanyika Jumapili mjini Dar es Salaam wa kuwania tiketi ya kucheza Fainali za Ubingwa wa Mataifa wa Afrika (CHAN) mwakani nchini Cameroon  
Wachezaji wa Simba, kiungo Hassan Dilunga (mbele) na beki Haruna Shamte wakigombea mpira 
Mshambuliaji Shaaban Iddi Chilunda akimiliki mpira mbele ya mwenzake 
Wachezaji wa Simba SC, kiungo Jonas Mkude (kushoto) na beki Erasto Nyoni (kulia)... Continue reading ->
Source: Bin ZuberyRead More