TAIFA STARS WALIVYOFANYA MAZOEZI UWANJA WA TAIFA WA PRAIA LEO - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

TAIFA STARS WALIVYOFANYA MAZOEZI UWANJA WA TAIFA WA PRAIA LEO

Wachezaji wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars wakiwa mazoezini Uwanja wa Taifa mjini Praia, Cape Verde jioni ya leo kujiandaa na mchezo wa Kundi L kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) dhidi ya wenyeji Ijumaa  
Washambuliaji Thomas Ulimwengu (kulia) na Mbwana Samatta (kushoto)  
Wachezaji wengine wa Taifa Stars wakivaa ili kuingia mazoezini 
Kocha Msaidizi Emeka Amadi akiwa kwenye benchi Uwanja wa Taifa wa Praia 
Marefa wa mchezo huo kutoka Mali, Boubou Traore, Drissa Kamory Niare na Baba Yomboliba wa Mali wakikagua Uwanja wa leo 
Uwanja wa Taifa wa Praia ambao utatumika kwa mchezo wa Ijumaa
Hapa ni wakati wachezaji wa Taifa Stars wanapanda basi kwenda hotelini baada ya kuwasili Praia ... Continue reading ->


Source: Bin ZuberyRead More