Taifa Stars yachangiwa Sh370 milioni - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Taifa Stars yachangiwa Sh370 milioni

Takribani Sh370 milioni zimechangishwa katika harambee maalum ya kuichangia timu ya Taifa 'Taifa Stars' inayoshiriki Fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON) zinazofanyika huko Misri kuanzia Juni 21 hadi Julai 19.


Source: MwanaspotiRead More