TAIFA STARS YAELEKEA SAUZI KUWEKA KAMBI YA SIKU 10 - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

TAIFA STARS YAELEKEA SAUZI KUWEKA KAMBI YA SIKU 10

Timu ya Taifa ya Tanzania “Taifa Stars” imeondoka leo alfajiri kuelekea nchini Afrika Kusini kuweka Kambi kujiandaa na mchezo wake wa kutafuta tiketi ya kufuzu Afcon 2019 dhidi ya Lesotho.

Kambi hiyo ya siku 10 itakuwa katika Mji wa Bloemfontein kabla ya kikosi hicho kuelekea mjini Maseru,Lesotho.
Taifa Stars ipo nafasi ya pili katika kundi L ikiwa na alama 5 nyuma ya vinara Uganda wenye alama 10 wakati Cape Verde wapo nafasi ya tatu wakiwa na alama 4 na Lesotho wakiburuza mkia na alama mbili.
Mchezo dhidi ya Lesotho unataraji kuchezwa Novemba 18,2018 mchezo ambao utatoa taswira ya Taifa Stars kufuzu kucheza Afcon mwakani itakayofanyika Cameroon.

Wachezaji walioitwa kujiunga na kikosi hicho kinachodhaminiwa na Bia ya Serengeti ni

Aishi Salum Manula (Simba SC)
Shomari Salum Kapombe (Simba SC)Ally Abdulikarim Mtoni (Lipuli FC)Kelvin Patrick Yondani (Young Africans)Gadiel Michael Kamagi (Young Africans)Benno David Kakolanya (Young Africans0Benedict Tinocco Mlekwa (Mtibwa Sugar)Agrey Morris ... Continue reading ->
Source: Issa MichuziRead More