TAKUKURU wamsaka Hans Pope, kisa nyasi bandia - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

TAKUKURU wamsaka Hans Pope, kisa nyasi bandia

TAASISI ya kuzuia na kupambana na rushwa TAKUKURU imetangaza rasmi kumtafuta aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Usajiri ya Simba, Zacharia Hans Pope baada ya kutoa taarifa za uongo kwenye ofisi za Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) juu ya manunuzi ya nyasi bandia za klabu hiyo. Anaripoti Kelvin Mwaipungu … (endelea). Hans Pope alitoa taarifa TRA ...


Source: MwanahalisiRead More