TAKUKURU YAWASAKA HANSPOPE NA LAWUO KWA KOSA LA UDANGANYIFU - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

TAKUKURU YAWASAKA HANSPOPE NA LAWUO KWA KOSA LA UDANGANYIFU

Na Humphrey Shao, Globu ya JamiiTAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) inawatafuta washtakiwa, Zacharia Hanspope ambaye alikuwa mjumbe wa kamati ya Simba Sports Club na ndugu Franlin Peter Lauwo ambaye ni mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Ranky Infrastrure & Engineering iliyopewa zabuni ya kujenga uwanja wa Simba kujibu kesi ya jinai namba 214/2017.
Akizungumza na Waandishi wahabari jijini Dar es Salaam leo Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru, Brigedia Generali John Mbungo amesema Mshatakiwa wa kwanza, Zacharia Hanspope aliondoka nchini mnamo April 8 ,2018 kupitia mpaka Horohoro kwa kutumia Passport namba TA00422.
“Mfanyabiashara aliyekuwa mjumbe wa kamati ya utendaji ya Simba Sports Club ambaye alizaliwa Iringa Mjini ambaye kabla ya kuondoka alikuwa anaishi Mlalakuwa Mikocheni ambaye amebainika kuwa anamiliki hati za kusafiria tatu ambapo moja ni hati ya kusafiria ya Afrika Mashariki na hati mbili za kusafiria za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania zilizotolewa kwa vipindi ... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More